CCM MWAKA MMOJA

(CCM's first anniversary)

UTAUMIZA ROHO YAKO

(You will hurt your feelings)

SIRI NI YA WAWILI

(A secret is that of two people)

AJABU NAZI KAVU KUTAKA KUVUNJA JIWE

(It's strange for a dry coconut to want to break a stone)

USINIPENDE KWA RAHA KWENYE, SHIDA USINITUPE

(Don't just love me in good times, don't abandon me in bad times)

USIMLAUMU SISIMIZI SUKARI HAIMALIZI

(Don't blame the ant, it won't finish all the sugar)

UTABAKI NA CHOKOCHOKO UTAAMBULIA UKOKO

(By causing misunderstandings, you'll end up with leftovers)

NILIJUA YATAWAKERA SANA

(I knew they would annoy you a lot)

HERI KUNIULIZA KULIKO KUNICHUNGUZA

(Better ask me than spying on me)

AHSANTE GARI YA MUHISHIMIWA WETU

(Thanks to his excellency's car)

MAPENZI HUDUMU UKILA ZABIBU

(Love lasts if you eat grapes)

USIONE NIMETUA KUPANGA NI KUCHAGUA

(I'm settled because to plan is to make choices)

MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE

(A poor man's capital is his body strength)

MAPENZI HAYANA MACHO YA KUONA

(Love is blind)

SITALIPIZA NA WALA SITASAHAU

(I won't revenge but I won't forget)